MTENDAJI WA MTAA III

public administration and governance Industry
Responsibilities

  • Katibu wa Kamati ya Mtaa
  • Mtendaji Mkuu wa Mtaa
  • Mratibu wa utekelezaji
    wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Mtaa.
  • Mshauri wa kamati ya
    Mtaa kuhusu mipango ya maendeleo katika Mtaa
  • Msimamizi wautekelezaji
    wa Sheria Ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Mtaa.
  • Mshauri wa kamati ya
    Mtaa kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama
  • Msimamizi wa utekelezaji
    wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na umasikini katika Mtaa.
  • Kusimamia ukusanyaji wa
    mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi wote
  • Kuandaa na kutunza
    rejesta ya wakazi wa Mtaa wote
  • Atawajibika kwa Afisa
    Mtendaji wa Kata.

Qualifications

  • Kuajiriwa mwenye elimu
    ya kidato cha nne/sita aliyehitimu mafunzo ya Astashahada / Cheti 
    (NTA LEVEL 5) katika mojawapo ya fani zifuatazo:  Utawala, Sheria Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo
    ya Jamii na Sayansi ya 
    sanaa kutoka chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo au chuo
    chochote kinachotambuliwa na Serikali.

Additional Information

  • Send your CV and cover letter (titled the position you are applying for) to:  https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/9460
  • Deadline: Monday,  30th September 2024

Job Details


public administration and governance
Legal
N/A
N/A
MTENDAJI WA MTAA III
11
1 Year
Monthly
No
  • Date Posted:
    18th Sep, 2024
  • Location:
    Musoma , Mara, Tanzania
  • Expires On:
    30th Sep, 2024
  • Job Skills:
    Kuandaa na kutunza rejesta ya wakazi wa Mtaa wote, Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi wote
Share This Job
Company Overview
Halmashauri ya Mji wa Bunda
Tanzania
1 Open Jobs

Halmashauri ya Mji wa Bunda ilianzishwa kama sehemu ya juhudi za serikali ya Tanzania za kugatua madaraka na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Mji wa Bunda ulianza kama kitongoji kilichokuwa chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, lakini kutokana na ongezeko la watu na maendeleo ya kiuchumi, eneo hili lilihitaji kusimamiwa kwa ufanisi zaidi.

Mnamo mwaka 2007, Halmashauri ya Mji wa Bunda iliundwa rasmi baada ya kupandishwa hadhi kutoka kuwa mji mdogo hadi mji kamili. Tangu wakati huo, imepata mamlaka ya kusimamia na kuongoza shughuli za kimaendeleo ndani ya mji, ikijikita katika kuboresha miundombinu, elimu, afya, na utoaji wa huduma bora kwa wakazi wake.

Halmashauri hii pia inahusishwa na historia tajiri ya watu wa jamii ya Wakurya, ambao ni wenyeji wa eneo hili, na inajulikana kwa shughuli za kilimo, ufugaji, na uvuvi kutokana na ukaribu wake na Ziwa Victoria. Bunda imeendelea kukua kwa kasi, ikichangia kwenye maendeleo ya Mkoa wa Mara kwa ujumla.

Related Jobs

;