FUNDI SANIFU II - UPIMAJI ARDHI (LAND TECHNICIAN S...

public sector Industry
Responsibilities

i. upanga na kuandaa mahitaji ya kambi za upimaji vifaa vya upimajoi na mahitaji ya
jumla
ii. Kufanya upimaji wa awali na kusimika ardhini alama za upimaji
iii. Kufanya upimaji na kukusanya taarifa na takwimu zote za upimaji
iv. Kuchora “Sketch” ya mchoro ya upimaji
v. Kufanya mahesabu ya upimaji

Qualifications

Kuajiriwa wenye stashahada ya kawaida katika fani ya Upimaji wa ardhi kutoka vyuo
vinavotambuliwa na Serikali.

Job Details


public sector
conduct land surveys
N/A
Full Time
Land Surveying and Mapping
26
1 Year
Monthly
No
  • Date Posted:
    10th Dec, 2024
  • Location:
    Dar es Salaam , Dar es Salaam, Tanzania
  • Expires On:
    17th Dec, 2024
  • Job Skills:
    Kuchora “Sketch” ya mchoro ya upimaji
Share This Job
Company Overview
TUME YA TAIFA YA MIPANGO YA MATUMIZI YA ARDHI (NLUPC)
Dar es Salaam , Dar es Salaam, Tanzania
1 Open Jobs

Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUPC) ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge Na.
3 ya 1984 na badae ikafanyiwa marekebisho na Sheria Na. 6 ya 2007 (Sura 116). Kuanzishwa
kwa Tume kulionekana kuwa na umuhimu baada ya kubaini kuwa sera, sheria, na taasisi
iliyoundwa haikuwa na ufanisi wa kutosha katika kuratibu shughuli na programu mbalimbali
zinazohusiana na matunzi ya ardhi zinazofanywa na asasi mbalimbali za kisekta katika Serikali,
sekta binafsi na Mashirika yasiyo ya Kiserikali. Tume ilianzishwa ili kuwianisha na kuratibu sera
na sheria zote zinazohusiana na matumizi ya ardhi, ili kukuza usimamizi bora na uboreshaji wa
ubora wa ardhi kwa lengo la kuhakikisha matumizi endelevu ya ardhi, ili iweze kutoa uzalishaji
bora ili kuimarisha kijamii na kiuchumi. Maendeleo ya kiuchumi na matengenezo ya ubora wa rdhi
kwa tija ya muda mrefu.

Related Jobs

;