MTENDAJI WA KIJIJI III

public sector Industry
Responsibilities

  • Katibu wa Kamati ya kijiji
  • Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri  katika
    Kijiji


  • Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Kijiji.


  • Msimamizi wa Utekelezaji wa Sheria ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika
    Kijiji


  • Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu masuala  ya Ulinzi na Usalama.


  • Msimamizi wa Mtekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na Umasikini
    katika Kijiji.


  • Kusimamia Ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi.


  • Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.
  • Mtendaji Mkuu wa Serikali ya kijiji

Qualifications

  • Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

Additional Information

  • Send your CV and cover letter [titled the position you are applying for] to:
    https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/8212

Job Details


public sector
MTENDAJI WA KIJIJI III
N/A
Full Time
HR Department Team Leader
MTENDAJI WA KIJIJI III
20
1 Year
Monthly
No
  • Date Posted:
    4th Jul, 2024
  • Location:
    Kahama , Shinyanga, Tanzania
  • Expires On:
    18th Jul, 2024
  • Job Skills:
    Team Work, Strong Communication, Fluency in English
Share This Job
Company Overview
Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
Location Information not available.
1 Open Jobs

Shinyanga District Council is one of the five Councils and one municipal Council forming Shinyanga Region. The Council lies between latitude 30.20’ and 30.95’ south of the equator and between longitudes 320.30 and 330.30 east of Greenwich Meridian, south of Lake Victoria.

It is bordered to the east by the Kishapu District and Shinyanga Municipal Councils, to the west by the Kahama and Geita Districts, and to the north by Kwimba District and to the south by the Nzega District.

Shinyanga District Council was established in 1st January 1984 under the terms of the provisions of Section 8 and 9 of the Local Government (District Authorities) Act 1982.

Related Jobs

;